Manchester United yapokea kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa Brighton ligi kuu Uingereza.
bySiraj Kingi-
0
Timu ya Manchester United ilipokea kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa wenyeji wao Brighton,mechi ya ligi kuu uingereza iliyochezwa majira ya saa 4 jana usiku.
Goli lililofungwa na Pascal Gross katika dakika ya 57,Na Man United wamesalia na pointi zao 77 huku wakiwa mamecheza michezo 36.
Post a Comment (0)